Misingi Ya BIBLIA
Somo La 11: Maisha Katika Kristo
Dibaji | Utakatifu | Matumizi Ya Nguvu | Siasa | Anasa Za Ulimwengu | Maisha ya kikristo yenye Matendo | Kujifunza Biblia | Sala | Kuhubiri | Uhai Wa Iklezia | Kumega Mkate | Ndoa | Maswali

Somo La 11: Maswali

Isimu:
email (required):
  1. Ni mabadiliko ya aina gani yatatokea katika maisha yetu wakati wa ubatizo?

  2. ‘Utakaso’ una maana gani?
    Kutogusana na wasio amini
    Kujitenga toka dhambi na kufuata mambo ya Mungu
    Kwenda kanisani
    Kutenda mema kwa wengine

  3. Aina zipi za shughuli hazimfai Mkristo wa kweli?

  4. Maneno ‘mtakatifu’ na ‘Iklezia’ yana maana gani?

  5. Habari zipi zifuatazo ni za kweli kuhusu kuumega mkate?
    Tutafanya karibu kila juma
    Tutafanya mara moja kwa mwaka wakati wa Pasaka
    Mkate na divai hugeuka kuwa mwili halisi na damu ya Yesu
    Mkate na divai huwa mfano wa mwili na damu ya Yesu

  6. Ni taarifa zipi zifuatazo ni za kweli kuhusu ndoa?
    Tuoane na waumini wa kweli tu
    Kutoa hati ya talaka inaruhusiwa kwa waumini
    Muumini aliyeoa aliye na mwenza asiyeamini wajaribu kukaa nao
    Katika ndoa, mwanamume ni mfano wa Kristo na mwanamke ni waumini

  7. Je! wanawake wana ruhusa kufundisha katika Iklezia?
    Eewaa
    La

  8. Ikiwa umebatizwa baada ya kujua ukweli, je! utabaki kushirikiana na makanisa yasiyofundisha ukweli kabisa?
    Eewaa
    La


  Back
Home
Next