Misingi Ya BIBLIA
Somo La 4: Mungu Na Mauti
Binadamu | Nafsi Au Roho | Roho ya Mtu | Mauti ni Kutokuwa na Fahamu Kabisa | Ufufuo | Hukumu | Mahali pa Kupewa Thawabu: Mbinguni au Duniani? | Uwajibikaji Mbele Za Mungu | Kuzimu | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Purgatory, Roho na mafunzo ya kuwa huingia kwenye mwili mwingine, Kwa mwili upi tunafufuliwa, Kunyakuliwa) | Maswali

Somo La 4: Maswali

Isimu:
email (required):
  1. Ni nini kinatokea baada ya kufa ?
    Roho inakwenda mbinguni
    Tunakuwa hatuna fahamu
    Roho inatunzwa mahali fulani hata siku ya hukumu
    Roho mbaya zinakwenda kuzimu na nzuri kwenda mbinguni.

  2. Nafsi ni kitu gani ?
    Sehemu isiyokufa ya utu wetu
    Ni neno lenye maana "Mwili, Mtu,kiumbe"
    Ni maana moja na roho
    Kitu fulani kinachokwenda mbinguni au kuzimu baada ya kufa.

  3. Roho ya binadamu ni nini ?

  4. Kwa kifupi elezea mwili wa binadamu

  5. Andika orodha ya mistari miwli inayothibitisha kuwa mauti ni hali ya kutokuwa na fahamu

  6. Unajua kitu gani kuhusu kiti cha hukumu cha Kristo

  7. Ni nani watakao fufuliwa na kuhukumiwa

  8. Kuzimu ni nini ?

  9. Gehanamu ni nini ?


  Back
Home
Next