Misingi Ya BIBLIA Somo La 2: Roho ya Mungu Ufafanuzi | Maongozi ya Mungu | Vipawa Vya Roho Mtakatifu | Kurudishwa kwa vipawa | Biblia ni Mamlaka pekee | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Je! Roho Mtakatifu ni Mtu?, Kawaida ya kuita kitu kana kwamba ni Mtu, Mambo ya kelvini, "Nanyi mtapokea Roho mtakatifu", "Na ishara hizi zitafuata") | Maswali |
2.5 Biblia ni Mamlaka pekeeToka kile ambacho tumeona mpaka hapa katika somo hili, Roho ya Mungu inataja nia na kusudi lake, na nguvu ambazo anaweka vitu hivyo katika kutenda kazi. Tumetoa mkazo wa kwamba Roho hiyo kwa maelezo ya kwamba imefunuliwa kwetu katika kurasa za neno la Mungu. Matatizo mengi ya Ukristo wakati ule yote yameshuka katika kosa la kuhuzunisha kufahamu hili. Kwa kuwa ni vigumu kusadiki kuwa huu uwezo mkubwa umewekwa katika kitabu kimoja, sehemu zake zinazotuwia vigumu kuzielewa, ni kuvutwa kuona ya kwamba kuna namna ingine ya ufunuo wa Mungu kwa watu, kuliko Biblia. Kwa sababu ya hatia kubwa ya mwili wa mwanadamu (Yer. 17:9) unapata usafi kweli wa neno la Mungu (Yoh. 17:17) hivi huwa vigumu kuvumilia, wengi wameshindwa katika jaribu hili kwa kudai au kutaka namna nyingine ya ufunuo unaovutia zaidi katika nia ya mwili . Sasa mifano michache imetolewa:-
Yote haya yanatokeza haja ya kufahamu ukubwa wa Biblia kuwa ni neno la Mungu, na kuchunguza kurasa zake kwa kupata ujumbe wa kweli. Swali, "Biblia moja, Makanisa mengi - ni kwa nini ?" kwa upana limejibiwa linapofahamika ni jinsi gani kila kanisa lina, kwa kiwango fulani, limedai namna nyingine ya ufunuo wa Roho ya Mungu, yaani, mapenzi yake, mafunzo na fikira, kwa nyongeza katika huo wa Biblia. Kama unataka kupata kanisa moja la kweli, imani moja ya kweli na ubatizo mmoja wa kweli (Efe. 4:4 -6), wito unapasa kukujia kwa sauti kubwa na dhahiri - "Rudi katika Biblia !" |