Misingi Ya BIBLIA
Study 9: Ushindi Wa Yesu
Ushindi Wa Yesu | Damu Ya Yesu | Kutoa Dhabihu Kwa Ajili Yetu Na Kwa Ajili YaNafsi Yake Mwenyewe | Yesu Ni Mwakilishi Wetu. | Yesu Na Torati Ya Musa | Sabato | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Sanamu ndogo ya Yesu Msalabani, Je? Yesu alizaliwa December 25?) | Maswali

Somo La 9: Maswali

Isimu:
email (required):
  1. Ni kwa sababu gani kifo cha Yesu, kuliko cha mtu mwingine awaye yote, kilitakiwa kwa wokovu wetu?

  2. Ni kwa sababu gani dhabihu za Wanyama kwenye Torati ya Musa hazikutosha kuondoa dhambi?

  3. Je! Yesu alikuwa ni mwakilishi wetu au alipokufa alifanya hivyo badala yetu?

  4. Ni ipi kati ya taarifa zifuatazo ni kweli?
    Kristo alikufa badala yetu
    Kristo alituwakilisha, hivyo Mungu anaweza kutusamehe kwa ajili yake
    Kristo alikuwa kama sisi lakini hatuwakilishi
    Kristo kwa kufa kwake maana yake ni kwamba Mungu hatamhesabia mwanadamu awaye yote kwa ukosaji wa dhambi

  5. Je! Yesu alifaidika kutokana na mauti yake mwenyewe?
    Eewaa
    La

  6. Kristo alipokufa msalabani, je! ali….
    Komesha amri ndogo za Torati ya Musa lakini sio amri kumi
    Komesha Torati ya Musa pamoja na amri kumi
    Komesha Torati ya Musa isipokuwa sikukuu za Wayahudi
    Kuwa na tokeo kwenye nafasi ya Torati ya Musa?

  7. Je! tushike Sabato sasa?
    Eewaa
    La

  8. Toa sababu ya jibu lako kwa swali la 7.