Misingi Ya BIBLIA Somo La 3: Ahadi za Mungu Dibaji | Ahadi Katika Edeni | Ahadi Kwa Nuhu | Ahadi Kwa Abrahamu | Ahadi Kwa Daudi | Tumeacha Kitambo sehemu ya (The Kuharibiwa kwa Mbingu na Nchi (Ufu. 21:1; 2Pet. 3:6-12)., Madai ya "Uisraeli wa Visiwa vya Uingereza") | Maswali |
Tumeacha Kitambo sehemu ya 9: The Kuharibiwa kwa Mbingu na Nchi (Ufu. 21:1; 2Pet. 3:6-12).Lengo la Mungu likiwa ni kusimamisha ufalme wake hapa duniani (Ona somo la 5), haidhaniwi kuwa ataiharibu hii sayari yenyewe, na somo la 3.3 limeonyesha ya kuwa kwa uthabiti amehahidi kutofanya jambo hili. Mstari uliopo hapo juu kuangamiza mbingu na nchi inabidi uchukuliwe kwa mfano. Fungu la maneno kutoka Petro laonyesha mfano mmoja kati ya hukumu iliyopita duniani wakati wa Nuhu na itakavyotokea kwenye "Siku ya Bwana" wakati ujao. "Dunia ile ilivyokuwepo wakati ule, iligharikishwa na maji, ikaangamia, Bali mbingu na nchi, zilizopo sasa …… zimewekwa akiba kwa moto zikilindwa hata siku ya hukumu" (2 Pet. 3:6,7). Petro anaonyesha tofauti kati ya maji yakiwa ni wakala wa kuangamiza kwenye kipindi cha Nuhu, na moto utakaotumika atakapokuja mara ya pili.'Mbingu na nchi’ za kipindi cha Nuhu zenyewe hazikuharibiwa - wenye miili wote’ wenye dhambi waliharibiwa (Mwa. 7:21; 6: 5, 12).'Mbingu na nchi’ kwa sababu hii unatajwa utaratibu wa mambo au muungano wa watu. Wale wasiofahamu hili fungu la maneno wanaelekea kusahau kuharibiwa kwa 'Mbingu’ zinazosemwa karibu. hii haiwezi kuchukuliwa ilivyo - ni mahali ambapo ni makao ya Mungu (Zab. 123: 1), mahali ambapo hakuna wenye dhambi (Hab. 1: 13; Zab. 65: 4, 5), ni ambazo hutangaza utukufu wa Mungu (Zab. 19:1).Kama zinataja jambo lingine katika mfano, basi inabidi nayo 'nchi’. Mafungu yafuatayo ya maneno yanaonyesha jinsi'Mbingu na nchi’ katika sehemu zingine za Biblia hazitafsiriwi jinsi zilivyo, bali zinataja kidogo mfumo wa mambo ya dunia.
Uchunguzi wa karibu kwa 2 Pet. 3 unathibitisha hivi. tukiisha eleza namna'mbingu na nchi’ za sasa zitakavyoisha, mstari wa 13 unaendelea: "Lakini kama ilivyo ahadi yake, mnatazamia mbingu mpya na nchi mpya, ambayo haki yakaa ndani yake" Huku ni kunukuu ahadi ya Mungu iliyo katika Isaya 65:17: "Maana tazama, mimi naumba mbingu mpya na nchi mpya". Mistari inayoendelea katika Isaya 65 yaeleza utaratibu huu mpya kuwa ni hali timilifu hapa duniani:
Baraka zote hizi ni dhahiri zinahusu jambo la ufalme ujao wa Mungu duniani -'Mbingu na nchi mpya zitakazo ingia mahali pa hizi zilizopo zilizosimama kwa huzuni. |