Misingi Ya BIBLIA
Somo La 5: Ufalme wa Mungu
Kuelezea wazi kabisa Kuhusu Ufalme | Kwa Sasa Ufalme Haujasimikwa | Ufalme wa Mungu uliopita | Ufalme wa Mungu kwa Wakati Ujao | Miaka Elfu - Kikwi | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Ufalme wenyewe, Maelezo mafupi ya Historia ya Israeli) | Maswali

Somo La 5: Maswali

Isimu:
email (required):
  1. Ni upi ufuatayo ni muda wa kuwekwa kwa ufalme wa Mungu ?
    Daima umeisha wekwa
    Kristo akirudi
    Siku ya Pentekoste katika karne ya kwanza
    Mioyoni mwa waaminio wanapoongoka.

  2. Je ! Ufalme wa Mungu uliwahi kuwepo zamani ? kama ndivyo kwa namna gani ?

  3. Ni lini uliisha ?

  4. (Millenia Kikwi) ni nini ?
    Utawala wa neema mioyoni mwetu
    Utawala wa miaka 1000 ya waaminio mbinguni
    Utawala wa miaka 1000 ya shetani duniani
    Miaka 1000 ya kwanza ya Ufalme wa Mungu ujao duniani

  5. Ufalme utakuwa ni wa namna gani ?

  6. Waamini waliopo watafanya nini katika (Milenia -Kikwi)
    Watakuwa juu ya watu waliokufa
    Watatawala mbinguni
    Hatujui
    Wataishi kwenye Sayari nyingine

  7. Je ! Ujumbe kuhusu Ufalme wa Mungu ulihubiriwa:
    Katika Agano Jipya tu
    Yesu na mitume basi
    Sehemu zote mbili Agano la Kale na Jipya
    Katika Agano la Kale peke yake.


  Back
Home
Next